Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 05:03

Goma: Kituo cha afya Nyiragongo cha kabiliwa na uhaba wa dawa na vifaa vya matibabu


Goma: Kituo cha afya Nyiragongo cha kabiliwa na uhaba wa dawa na vifaa vya matibabu
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:08 0:00

Kituo cha afya katika kambi ya muda ya watu wasiokuwa na makazi huko Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) katika eneo la Nyiragongo, kimeelemewa sana.

Umoja wa Mataifa unasema mapigano mwezi March kati ya jeshi na waasi wa M23 katika jimbo la Kivu Kaskazini yamewalazimisha watu zaidi ya 390,000 kukimbia makazi yao, huku watu 182,000 wakiwa katika kambi za wakimbizi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo zaidi juu ya changamoto mbalimbali zinazovikabili vituo vya afya...

XS
SM
MD
LG