Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Julai 23, 2024 Local time: 17:09

Balozi Godec wa Marekani afanya ziara Mombasa.


Balozi wa Marekani nchini Kenya Robert Godec (wa pili kulia) kwenye picha ya awali.
Balozi wa Marekani nchini Kenya Robert Godec (wa pili kulia) kwenye picha ya awali.
Balozi wa Marekani nchini Kenya Robert Godec, anaendelea na ziara yake katika pwani ya Kenya akiandamana na viongozi wa eneo hilo katika hatua inayonuiya kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili na hususan jamii ya waislam.
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:26 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Miongoni mwa mambo muhimu ambayo anatarajia kuangazia ni kufunguliwa kwa ofisi za kibalozi katika jiji la Mombasa
Kando na hayo Godec aliongoza wa Pwani katika uzinduzi wa maktaba katika kituo cha waislamu maarufu, MEWA ikiwa njia mojawapo ya kusisitiza uhusiano mwema kati ya serikali ya Marekani na jamii ya waislamu huko Mombasa.
XS
SM
MD
LG