No media source currently available
Michuano ya kutafuta nafasi ya kucheza katika kombe la mataifa ya Afrika, AFCON 2022 Cameroon, ambapo timu ya taifa ya Gambia imefanikiwa kufuzu kwa mara kwanza katika historia yao baada ya kuifunga Angola bao 1- 0 nyumbani.
Ona maoni
Facebook Forum