Upatikanaji viungo

Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 21:20

Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa TLS


Fatma Karume

Wakili Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS).

Wakili huyu anapokea uongozi kutoka kwa mtangulizi wake Tundu Lissu (Mb).

Dkt Rugemeleza Nshala amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa TLS.

Uongozi wa TLS katika nafasi hizo ni kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG