No media source currently available
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo FARDC limeshambulia ngome ya makao makuu ya waasi wa M23 nchini humo, ikiwa ni hatua ya kujibu mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na waasi hao.