Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) lasema wakazi milioni 22 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wakabiliwa na upungufu wa Chakula.
- Mdahalo kwa ajili ya wagombea urais nchini Uganda wafutwa kwa muda usiojulikana.
- Wabunge wa Marekani wasikiliza shuhuda juu ya mzozo wa Ethiopia.