Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 20, 2021 Local time: 02:31

Milipuko yasikika Bujumbura.


Polisi wa Burundi kwenye picha ya awali.

Hali ya taharuki ilatanda mjini Bujumbura mapema Jumatatu, baada ya milipuko kusikika katika sehemu tofauti za mji na kusababisha majeraha kwa watu kadhaa.

please wait

No media source currently available

0:00 0:03:42 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Haikubainika mara moja kilichosababisha milipuko hiyo lakini msemaji wa idara ya polisi alitoa taarifa akisema kuwa hali ya usalama ilikuwa imerejeshwa na kwamba uchunguzi unaendelea ili kubainisha kilichosababisha.

XS
SM
MD
LG