Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Oktoba 01, 2023 Local time: 11:16

Etienne Tshisekedi aaga dunia huko Brussels


Etienne Tshisekedi

Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, Etienne Tshisekedi, ameaga dunia huko Brussels, vyanzo vya kidiplomasia vimeripoti Jumatano

Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili VOA amesema kuwa mwanasiasa huyu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kisukari na amekufa akiwa na miaka 84.

Tshisekedi alisimama kidete kuupinga utawala wa Mobutu Sese Seko ambaye aliitawala DRC, wakati huo ikijulikana kama Zaire, alikuwa mpinzani wake kwa miaka mingi kabla ya Mobutu kupinduliwa.

XS
SM
MD
LG