Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Septemba 27, 2023 Local time: 20:31

Eneo la biashara huria Barani Afrika (AfCFTA) lililo idhinishwa lapiga hatua


Eneo la biashara huria Barani Afrika (AfCFTA) lililo idhinishwa lapiga hatua
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:21 0:00

Eneo la biashara huria Barani Afrika (AfCFTA) lililo idhinishwa linaonekana kusonga kwa mwendo wa pole. Watalaam wa uchumi wanasema mpango huu utalibadilisha bara la Afrika na kulifanya kuwa lenye nguvu za kiuchumi Lakini baadhi ya mataifa barani afrika bado yameweka vikwazo vikali.

XS
SM
MD
LG