Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 19:31

Viongozi wakutana kuhusu wakimbizi wa Sudan Kusini nchini DRC


Wakimbizi wa Sudan Kusini.

Magavana wanne kutoka Sudan Kusini pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wamekutana katika eneo la Ituri.

Magavana wanne kutoka Sudan Kusini na pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wamekutana Alahamisi katika eneo la Ituri kaskazini mashariki mwa Congo kuzungumzia swala la usalama kwenye mpaka wa nchi hizo mbili pamoja na tatizo la wakimbizi kutoka Sudan Kusini ambao ni wengi kushinda eneo walilopewa hifadhi ndani ya Congo bila kupata misaada ya kibinadamu.

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:03:09 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Wakati huo huo , Serikali ya Congo imesema kuwa haina habari zozote kuhusu aliko kiongozi wa uwasi na aliekuwa naibu wa kwanza wa Rais Sudan Kusini Riek Machar kama anavyoripoti mwandindishi wa VOA Austere Malivika akiwa DRC.

Bonyeza kwa taarifa zaidi.

XS
SM
MD
LG