Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 13:09

Congress : Washauri wa Trump washutumiwa kwa kudharau na kutotii hati za wito


Congress : Washauri wa Trump washutumiwa kwa kudharau na kutotii hati za wito
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:15 0:00

Kamati ya Bunge inayochunguza shambulio la Bunge la Marekani Januari 6 lilipiga kura kwa kauli moja kuwashutumu washauri wa zamani wa Rais Donald Trump kwa dharau Bunge na kukataa kwa miezi kadhaa kuitikia na kutii hati za wito.

XS
SM
MD
LG