Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 27, 2022 Local time: 21:31

Changamoto na maisha ya wasanii wa K-pop


Changamoto na maisha ya wasanii wa K-pop
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:01 0:00

Wasanii wa K-pop wamevunja rekodi katika chati ya billboard 100. Wamejipatia mashabaki wa kimataifa na imekuwa ni sekta ya takriban dola bilioni 5. Bila ya shaka hivisasa Korea Kusini ni yenye ushawishi mkubwa wa kupeleka utamaduni wao kwingineko duniani.

XS
SM
MD
LG