Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 25, 2024 Local time: 20:18

Chama tawala Korea Kusini chaanguka katika uchaguzi wa bunge

Wanachama wa chama kikuu cha upinzani cha Minjoo nchini Korea Kusini wakiangalia matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge, April 13.
Wanachama wa chama kikuu cha upinzani cha Minjoo nchini Korea Kusini wakiangalia matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge, April 13.

Kwa mara ya kwanza katika miaka 16 chama tawala nchini Korea Kusini kimeshindwa kupata ushindi wa viti vingi katika uchaguzi wa bunge.

Kushindwa huko kwa kushangaza ilikokumbana nako chama cha Rais Park Geun Hye cha Saenuri jumatano kumeonyesha kutokukubalika kwa kiasi kikubwa kwa sera zake za uchumi na hatua zake za kutaka kuonyesha ukali dhidi ya Korea Kaskazini.

Mwenyekiti wa chama cha Saenuri analaumiwa kwa matatizo ya chama hicho.

XS
SM
MD
LG