Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 15:57

Chadema yasema itamuunga mkono Maalim Seif Zanzibar


Chadema yasema itamuunga mkono Maalim Seif Zanzibar
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:48 0:00

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema kinamuunga mkono mgombea wa ACT-Wazalendo Zanzibar Maalim Seif na mgombea wake ameridhia kujiondoa katika kinyang'anyiro hicho cha urais.

XS
SM
MD
LG