Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 05:45

Chadema yamuunga mkono Seif Sharif uchaguzi wa urais Zanzibar


Chadema yamuunga mkono Seif Sharif uchaguzi wa urais Zanzibar
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:05 0:00

Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tanzania Tundu Lissu asema : “Mtu pekee na chama pekee chenye uwezo wa kuishinda CCM Zanzibar, kiongozi wa Wazanzibari, ni Maalim Seif. Huyo ndiye mtu ambaye sisi Chadema tutamuunga mkono,” alisema Lissu.

XS
SM
MD
LG