Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 05, 2022 Local time: 01:14

Hofu ya usalama DRC kufuatia Mzozo Burundi


Familia za wakimbizi kutoka Burundi zapiga foleni ili kupokea chakula na nguo kutoka kwa Baraza la Umoja wa mataifa kuhusu haki za binadamu katika eneo la Uvira, Kivu Kusini, nchini DRC mwezi Mei mwaka wa 2014.

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo imesema ina wasiwasi kwamba machafuko yanayoendelea nchini Burundi huenda yakaathiri hali ya usalama nchini Congo, hususan katika eneo la
Kivu kusini, ambako wakimbizi kuroka Burundi wanaendelea kuwasili.

please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:49 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Wakati huo huo, bunge la DRC limesema limeshangazwa na ripoti kwamba baadhi ya wale wanaotekeleza mashambulizi nchini Burundi wamepatikana wakiwa na vitambulisho vilivyopeanwa na Tume ya Uchaguzi ya Congo. Mwandishi wa Sauti ya Amerika Austere Malivika ana ripoti kamili. Bonyeza kwenye media player ili usikilize taarifa hiyo.

XS
SM
MD
LG