Azimio la kihistoria kuhusu uchafuzi wa plastiki limepitishwa na Bunge la Umoja wa Mataifa la Mazingira nchini Kenya likitaka kuundwa kwa kamati ya mazungumzo baina ya serikali kwa ajili ya kuandaa makubaliano ya kisheria kuhusu uchafuzi wa plastiki.