Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 13, 2025 Local time: 07:26

Botswana inapiga kura ya uchaguzi wa rais Novemba 30


Ramani ya Botswana na mataifa yaliyo jirani nao.
Ramani ya Botswana na mataifa yaliyo jirani nao.

Rais wa Botswana Mokgweetsi masisi anatarajiwa kushinda muhula wa pili madarakani dhidi ya wapinzani wake watatu.

Botswana inafanya uchaguzi mkuu Oktoba 30, na Rais Mokgweetsi Masisi, anatarajiwa kushinda na kuongoza kwa muhula wa pili dhidi ya wapinzani wake watatu nchini humo katika chama chake cha Botswana Democratic Party (BDP) ambacho kimekuwa kikiongoza tangu kilipopata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1966.

Wapiga kura wanachagua wabunge, ambao baadaye wanamchagua Rais. Masisi amekuwa rais tangu mwaka 2018 alipopata nafasi hiyo, baada ya kuhudumu kama makamu rais chini ya mtangulizi Ian Khama. Aliendelea kuwa rais wakati chama chake cha BDP kiliposhinda uchaguzi wa mwaka 2019.

Forum

XS
SM
MD
LG