No media source currently available
Katika Ligi ya mpira wa kikapu hapa Marekani ya NBA, Boston Celtic walisimamisha mfululizo wa ushindi mara nane wa Denver Nuggets baada ya kuichapa 105 -87 Jumapili.