Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 06:32

Bobi Wine apinga ushindi wa Rais Museveni mahakamani


Bobi Wine apinga ushindi wa Rais Museveni mahakamani
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:56 0:00

Mawakili wa mgombea wa upinzani wa kiti cha urais nchini Uganda wasema wamewakilisha rasmi mashtaka mbele ya mahakama kuu kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyo mpatia ushindi Rais Yoweri Museveni.

XS
SM
MD
LG