Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 19, 2025 Local time: 07:20

Blinken atangaza msaada wa kibinadamu kwa wahamiaji na wakimbizi walioko Marekani


Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken akipunga mkono kutoka kwenye ndege yake alipotembelea Santiago, Chile, Oktoba 5, 2022. Esteban Felix REUTERS
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken akipunga mkono kutoka kwenye ndege yake alipotembelea Santiago, Chile, Oktoba 5, 2022. Esteban Felix REUTERS

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken siku ya Alhamisi alitangaza msaada mpya wa kibinadamu kwa wahamiaji na wakimbizi walioko Marekani, akiwa ziarani nchini Peru.

Muda mfupi kabla ya kuhudhuria mazungumzo ya mawaziri wa OAS kuhusu swali la kutatanisha la uhamiaji upande wa magharibi, Blinken aliwaambia waandishi wa habari kuhusu msaada mpya wa kibinadamu na baina ya nchi na kikanda wa dola milioni 240.

"Tuna watu wengi wanaozunguka ulimwenguni, wamehamishwa kutoka kwenya makazi yao kuliko wakati wowote katika historia iliyorekodiwa zaidi ya milioni 100," Blinken alisema.

"Na ulimwengu wetu wenyewe unapitia hilo kwa njia za kipekee za kina na mpya."

XS
SM
MD
LG