Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 23:35

Blinken afanya mazungumzo na Shirika la UNEP


Blinken afanya mazungumzo na Shirika la UNEP
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:33 0:00

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekamilisha ziara yake nchini Kenya kwa kufanya mazungumzo na Shirika Mpango wa Mazingira la UN, UNEP, akihimiza umuhimu wa kutokomeza uchafuzi wa plastiki unaotishia maisha ya viumbe baharini.

XS
SM
MD
LG