Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 19, 2024 Local time: 18:55

Biden atoa wito kwa viongozi kuungana kulinda demokrasia duniani

Rais wa Marekani Joe Biden aitisha mkutano wa kilele na viongozi kutoka mataifa ya kidemokrasia katika Mkutano wa Kilele wa Demokrasia wa Wizara ya Mambo ya Nje katika Ikulu ya Marekani, Washington, Marekani Desemba 9, 2021. REUTERS/Leah Millis

Rais wa Marekani Joe Biden anatazamia kufunga mkutano wake wa kilele wa demokrasia wa siku mbili, siku ya Ijumaa kwa kuangazia umuhimu wa uadilifu wa uchaguzi, kukabiliana na utawala wa kimabavu, na kuimarisha vyombo vya habari huru.

Katika siku ya kwanza ya mkutano huo jana , Biden alitangaza mipango ya Marekani kutumia hadi dola milioni 424 duniani kote, kusaidia vyombo vya habari huru, kazi ya kupambana na rushwa na mengineyo.

Mpango ultangazwa alipokua anatoa wito kwa viongozi wa dunia kushirikiana naye kubadili kile alichokiita kuwa, ni kushuka kwa kiwango cha kutisha hali ya demokrasia duniani kote.

Biden alihoji jana alipokua anawahutubia viongozi ikiwa watutaruhusu kurudi nyuma kwa haki na demokrasia bila kuzuiwa? Au watakuwa pamoja, kuwa na malengo na ujasiri wa kuongoza tena, maandamano ya maendeleo ya binadamu na uhuru wa binadamu kusonga mbele? Rais Biden amepangiwa kutoa hotuba ya mwisho kwa viongozi na mashirika ya kiraia, ijumaa mchana kwa saa za Washington.

XS
SM
MD
LG