No media source currently available
Rais Biden asema anasema anafanya kila liwezekanalo kuwasaidia wakulima wa Marekani kuzima mwanya wa uhaba wa nafaka katika jimbo la Illinois akisema Rais Putin ndiye aliyesababisha janga hili.