Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 01, 2023 Local time: 01:17

Biden apingwa juu ya suala la wahamiaji mpaka wa Mexico


Biden apingwa juu ya suala la wahamiaji mpaka wa Mexico
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:36 0:00

Linapokuja suala la kukabiliana na ongezeko la wahamiaji katika mpaka wa Mexico ukusanyaji wa maoni unaonyesha asilimia 57 hawakubaliani na Rais Joe Biden anavyoshughulikia tatizo hilo.

XS
SM
MD
LG