Rais mteule Joe Biden anafahamu nini kitatokea katika safari yake ya kuapishwa kuwa rais wa Marekani kutokana na uzoefu wake wa kutekeleza wajibu wa kikatiba alipokuwa Makamu wa Rais wa Marekani kwa awamu mbili na aeleza utaratibu wa kuwasilisha pingamizi la uchaguzi.
Facebook Forum