Huu ni ushahidi wa mwanzo wa enzi mpya ya Warepublikan wenye utata wakati wakikutana na vizingiti katika kila hatua wanayoipiga. Warepublikan wanasema wameanza kwa kufanya mabadiliko ya kanuni katika Baraza la Wawakilishi ili kukidhi matakwa ya watu waliowachagua kuongoza. Ungana na mwandishi wetu akukuletea taarifa kamili.
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC