Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 27, 2021 Local time: 16:53

Baraza la Wawakilishi Lajadili kumuondoa Trump Madarakani


Baraza la Wawakilishi Lajadili kumuondoa Trump Madarakani
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:45 0:00

Baraza la Wawakilishi la Marekani limeanza kujadili tena uwezekano wa kumfungulia mashtaka Trump ili kumuondoa madarakani wakimshutumu kwa kuchochea umati kuvamia na kuharibu jengo la Bunge la Marekani - Congress, huku likifanya ghasia iliyopelekea watu watano kufariki.

XS
SM
MD
LG