Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 10, 2024 Local time: 19:08

Ban Ki Moon awasa viongozi wa Afrika kuheshimu haki za mashoga


Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon akizungumza na waandishi wa habari.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon akizungumza na waandishi wa habari.

Ban Ki Moon aasa viongozi wa Afrika katika mkutano wa Umoja wa Afrika kuhusu kuheshimu haki za mashoga.

Katibu mkuu wa Umoja wa Matifa Ban Ki Moon amewaambia viongozi wa Afrika ni wakati wa kuheshimu haki za mashoga.

Akiongea jana kwenye mkutano wa Umoja wa Afrika huko Addis Ababa Ethiopia Bw. Ban amesema ubaguzi unaotokana na jinsia ya mtu umepelekea baadhi ya serikali kuwafanya watu kama raia wa daraja la pili au hata wahalifu.

Azimio la kimataifa la haki za binadamu amesema ni ahadi kwa watu wote katika maeneo yote na kwa wakati wote.

XS
SM
MD
LG