Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 31, 2023 Local time: 13:32

Balozi mpya wa Marekani nchini Zambia athibitishwa na Bunge


Jengo la Bunge la Marekani

Balozi mpya aliyeteuliwa, Michael Gonzales anatarajiwa kuwasili nchini humo mwezi July baada ya kuthibitishwa na Bunge la Marekani.

Mwaka 2019, Marekani ilimwita balozi wake Daniel Foote baada ya kusema kuwa alishtuka sana kwa maamuzi ya jaji kutoa hukumu ya wanandoa wa jinsia moja ya kifungo cha miaka 15 jela.
Jumanne Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alimuaga balozi mdogo wa Marekani anayemaliza muda wake Martin Dale na kuhakikisha kuimarisha uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG