Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Septemba 19, 2021 Local time: 05:57

#BALonVOA2021 : Rwanda yaingia Nusu Fainali, Maputo yatolewa


#BALonVOA2021 : Rwanda yaingia Nusu Fainali, Maputo yatolewa
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:58 0:00

Klabu ya Mpira wa Kikapu ya Patriots (Rwanda) imeifunga Ferroviario de Maputo (Mozambique) pointi 73-71, katika Robo Fainali ya marudiano ya Ligi ya BAL, Alhamisi mjini Kigali, Rwanda. Kwa ushindi huo , Patriots B.B.C wanaingia katika Nusu Fainali ya Ligi ya BAL huku Maputo ikiwa imetoka.

XS
SM
MD
LG