Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 02, 2023 Local time: 05:12

BAL 2022: Zamalek ya Misri yajikatia tiketi ya kutetea taji lao katika ligi


BAL 2022: Zamalek ya Misri yajikatia tiketi ya kutetea taji lao katika ligi
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:43 0:00

Zamalek ya Misri ilijikatia tikiti ya kutetea taji lao katika msimu wa ligi ya mpira wa Kikapu Afrika 2022 kwa ushindi wao wa nne katika mkutano wa Nile baada ya kuwalaza Espoir Fukash ya DRC 101-92 mjini Cairo Jumamosi.

XS
SM
MD
LG