Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 31, 2023 Local time: 12:15

Baharia 1 apatikana katika ajali ya meli bahari ya East China


Baharia 1 apatikana katika ajali ya meli bahari ya East China
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:06 0:00

Baharia moja kati ya 43 waliokuwa katika meli ya mizigo iliyokuwa inatokea New Zealand inasafirisha ng'ombe katika bahari ya East China amepatikana.

XS
SM
MD
LG