Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Machi 29, 2023 Local time: 05:44

Bado waliokimbia vita mji wa Pemba wanawatafuta ndugu zao


Bado waliokimbia vita mji wa Pemba wanawatafuta ndugu zao
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:07 0:00

Watu kadhaa waliosalimika wameonekana wakisubiri kwenye Bandari ya Pemba kupata habari za ndugu zao wakiwa na wasiwasi juu ya usalama wao baada ya mashambulizi ya wanamgambo wa Kiislam.

XS
SM
MD
LG