Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 12:07

Baada ya kuwakimbia Boko Haram wananchi bado wako matesoni


Baada ya kuwakimbia Boko Haram wananchi bado wako matesoni
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:22 0:00

Raia waliowakimbia kikundi cha Kiislam chenye siasa kali cha Boko Haram nchini Nigeria bado wanakabiliwa na changamoto nyingi za mahitaji ya msingi wakiwa katika kambi ya Maila, Maiduguri Nigeria ambako wanaishi baada ya kulazimika kukimbia makazi yao.

XS
SM
MD
LG