Mkutano wa Kumi wa maafisa wa Marekani na Afrika, wa uwekezaji wa nishati wafanyika leo na kesho kwa ajili ya kuangalia maswala ya ushirikiano kati ya Marekani na Afrika.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari