Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 22, 2024 Local time: 20:51

Marekani yaamua 2016


Wamarekani wapiga kura
Wamarekani wapiga kura

Vituo vya kupigia kura vilianza kufunguliwa mapema Jumanne katika majimbo yote 50 ya Marekani pamoja pia na District of Columbia.

Wapinzani wakuu wanaong'ang'ania urais, Donald Trump na Hillary Clinton, siku ya Jumatatu walifanya mikutano kadhaa ya kampeni katika majimbo ambayo yalionekeana kuwa na ushindani mkubwa, huku kila mmoja akiwarai Wamarekani kumpigia kura.....

Taarifa zaidi zitafuata...

XS
SM
MD
LG