Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Mei 31, 2023 Local time: 19:54

Albino wazidi kuwindwa Tanzania

Mwigulu Matonange Magesa, mtoto aliye na ulemavu wa ngozi wa Albino. (AP Photo/Matt Rourke)

Vitisho vya mauaji vimeanza kuwakabili tena watu wenye ulemavu wa ngozi yaani  albino nchini Tanzania, ambapo katika tukio la hivi karibuni mlemavu mmoja alishambuliwa na watu wasiojulikana na kunusurika kuuawa mkoani Tanga.

Kutoka Dar es salaam, mwandishi wa idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, George Njogopa, anaarifu zaidi

Albino wazidi kuwindwa
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:03:34 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG