Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 30, 2023 Local time: 23:56

Afrika Kusini: Wafanyakazi waeleza sababu za mgomo Chuo Kikuu cha UNISA

Afrika Kusini: Wafanyakazi waeleza sababu za mgomo Chuo Kikuu cha UNISA
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:05 0:00

Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha UNISA nchini Afrika Kusini wanaendelea na mgomo wakidai nyongeza ya mishahara na kushinikiza Kaimu Chancellor wa Chuo hicho ajiuzulu.

XS
SM
MD
LG