Print
Serikali ya Ufaransa imekubali kusaidia Kenya kuanzisha kituo kipya cha nguvu za Nuklia cha kuimarisha utoaji wa nguvu za nishati nchini humo.