Print
Wataalamu wa Malaria wanaokutana mjini Nairobi wasema chanjo mpya imegunduliwa ya kujikinga na ugonjwa huo. Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yuko Harare kwa mazungumzo maalum.