Print
Serikali ya Marekani imesema iko tayari kutoa msaada wa fedha kugharamia matumizi ya kura ya maamuzi kuhusu Katiba mpya nchini Kenya.