Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 28, 2023 Local time: 22:01

Kesi ya mashoga Malawi yaanza kusikilizwa


Jaji mmoja huko Malawi anasema waendesha mashitaka wanasikiliza kesi moja dhidi ya mashoga waliokamatwa baada ya kufanya sherehe ya ndoa ya jinsia moja hadharani.

Hakimu mmoja aliamua leo kwamba kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya wanaume hao wawili ambao wanashitakliwa kwa kukiuka maadili.

Ushahidi wa kutosha unamaanisha ushahidi kamili kabla Mahakama haijatoa hukumu vinginevyo uwepo na ushahidi wenye utata. Jaji aliahirisha kesi mpaka Aprili 3 na alisema watu hao wawili wanatakiwa kuandaa kuandaa utetezi wao.

XS
SM
MD
LG