Jaji mmoja huko Malawi amesema waendesha mashtaka wametengeneza kesi dhidi ya wapenzi wawili wa jinsia moja. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton ameihakikisha Israel kuwa marekani ina uhakika kuhusu usalama na maendeleo ya baadae ya taifa hilo.