Print
Mmoja wa wapatanishi wa mgogoro wa kisiasa Kenya Graca Machel ahimiza viongozi wa Kenya kuharakisha mabadiliko ya kisiasa ili kuweka msingi imara wa amani kabla ya uchaguzi mkuu ujao.