Print
Wabunge wote wanakutana Nairobi kwa siku ya pili kutafuta msimamo mmoja juu ya katiba mpya ya Kenya. Kaimu Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan atatangaza baraza jipya la mawaziri wiki ijayo.