Print
Wizara ya kilimo Kenya yakumbwa na kashfa ya ufisadi inayohusu uuzaji haramu wa mbolea. Na eneo mashuhuri la kitalii nchini Uganda lateketea moto.