Print
Serikali ya Uingereza imesitisha msaada mwingine wa paundi milioni 30 za mpango wa elimu ya bure nchini Kenya kutokana na kuongezeka kwa visa vya rushwa nchini humo.