Shirikisha
Print
Dunia ya adhimisha siku ya wanawake duniani. Mawaziri na manaibu mawaziri nchini Kenya wapigwa marufuku kusafiri nje ya nchi ili kuhudhuria vikao vya bunge vya kujadili katiba mpya.