Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Septemba 24, 2023 Local time: 17:24

Uchaguzi wa Togo mipaka yafungwa


Serikali ya Togo inafunga mipaka yake na kuzuia magari siku moja kabla ya uchaguzi wa rais kesho Alhamisi.

Taarifa ya serikali imesema kufungwa huko kutaanza rasmi saa sita usiku kwa saa za huko na itakuwa kwa muda wa saa 48.

Magari ya wagonjwa na usalama hayamo kwenye marufuku hayo.

Mamia ya watu waliuwawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi wa mwisho wa rais wa Togo 2005.

XS
SM
MD
LG